Product comparison

My shopping cart

Hello,Welcome to Vukaboda Log in Register Free Coupon
30% Discounts

Scan QR code

Mobile App
Home> Payment method> Article content

How to Use V-Pay

2014-01-16 12:31

V-Pay.
i. Mobile - Payments. ( M-Pesa & Airtel Money)

Baada ya mteja kuona bidhaa kwenye website yetu au Mitandao ya kijamii na anataka kuiagiza/Kuinunua kutoka VukaBoda, Itatakiwa atume Malipo ya bidhaa hiyo kupitia namba za simu za VukaBoda kulingana na bei ya Bidhaa hiyo ambayo mteja anaitaji. Kisha baada yaa apo Wafanyakazi wa vukaboda ndio watafanya shughuli zote mbaka mzigo/bidhaa kumfikia mteja sehemu aliyopo Tanzania kwa njia ya Basi, EMS au Kago ( Usafiri wa magari makubwa-Fuso & Scania).Mteja pia anaweza kuchagua na kutuambia njia ipi anapendelea Zaidi. ( Vigezo na Mashariti Kuzingatiwa)http://vukaboda.com/data/upload/shop/article/05749680734522540.jpg

Prev: There are no eligible articles Next: Online Payment
0789444464 sales@vukaboda.com

Scan it Follow us

Payment We Accept: