Product comparison

My shopping cart

Hello,Welcome to Vukaboda Log in Register Free Coupon
30% Discounts

Scan QR code

Mobile App
Home> Help Center> Article content

ZoaDay

2018-09-18 22:52

ZoaDay.

Rudisha Tabasam Kama Zamani.

ZoaDay itakua ni Zaidi ya punguzo la bidhaa zitakazo kuwa zimechagulia na vukaboda kwa ajili ya wateja wao. Kila bidhaa itakayo kuwa ndani ya ZoaDay itauzwa kwa bei ya chini kabisa ukilinganisha na bei ya sokoni au bei ya awali iliyokuwepo kabla.

 

Inafanyaje Kazi?

ZoaDay itakua inatokea kwa mwaka mara mbili na kufanya kazi ndani ya masaa 48 mpaka 72 . Ndani ya muda huo bidhaa zote zilizochagulia kuingia kwenye ZoaDay zitauzwa kwa bei ya chini kabisaa kuliko siku zote.

Mfano. Kama Samsung tv ilikua inauzwa Tsh 580000/= Basi siku ya ZoaDay inawezwa kuuzwa mpaka Tsh 250000/=.

 

Nanunuaje Bidhaa Ndani ya ZoaDay ?

Bidhaa zote zitauziwa kwenye website www.vukaboda.com au Application yetu iliyopo Google Play Store @Vukaboda . Hivyo hakikisha una Account active ili siku hiyo ya ZoaDay usipate tabu wakati wa kununua bidhaa zilizopunguzwa bei kubwaaaa.

 

Vigezo na Mashariti.

Bidhaa Haitauzwa Zaidi za mara mbili au moja , hivyo hakikisha unakua wa kwanza kuweza kujinyakulia bidhaaa ambazo zitauzwa kwa bei hiyo ndogo. Mana bidhaa haitakuwa na uwezo wa kununliwa mara mbili au tatu. (inaweza kuwa mara moja au mbili tuu)

 

Itaendelea ( Last Update 18/09/2018)

Prev: The delivery of my order is taking longer than expected. When will I receive it? Next: How to Pay in Installments
0789444464 sales@vukaboda.com

Scan it Follow us

Payment We Accept: