Product comparison

My shopping cart

Hello,Welcome to Vukaboda Log in Register Free Coupon
Ads

Scan QR code

Mobile App
Home> Customer Service> Article content

Nitapataje Bidhaa yangu baada Kununua nikiwa mkoani?

2018-06-18 10:02

TAARIFA MUHIMU

Ukishaweka Oda na kufanya malipo Bidhaa itakufikia ndani ya siku Mbili ( Masaa 72hrs) Kulingana na umbali wa sehemu uliyopo ( Kwa mfano Mwanza,Geita,Bukoba,Shinyanga,Arusha,Kigoma na mikoa mingine ambayo mabasi yanachukua Masaa 14hrs mpaka 16hrs ili kufika). Lakin kwa mikoa ya Karibu na Dar es salaam kama vile ( Morogoro,Pwani Na Tanga Bidhaa inaweza kufikia siku hiyohiyo kulingana na muda ambayo umeweka oda au kufanya manunuzi yako).

NB. Tunaahidi bidhaa kukufikia kwa wakati kama tulivyo andika apo Juuu ,Kukiwa na shida yoyote utapewa Taarifa.

                     PIGA HUDUMA KWA WATEJA

                          SMS/WhatsAPP +255789444464

Kwa sasa tunayo baadhi ya makampuni ya mabasi ambayo tunafanya nayo kazi, lakini pia mteja unaweza kupendekeza ni Bus gani tunaweza Kutumia kusafirisha Parcel Yako mpaka ulipo.

KWA SASA TUNAFANYA NA:

1.Mtei Express ( wateja wa Babati,Moshi na Arusha)

2.Galaxy Express ( Wateja wa Iringa,Njombe,Makambako)

3.Rungwe Express ( Wateja wa Mbeya,Tunduma,Kyela)

4.Zubery Bus servive ( Wateja wa Mwanza)

5.Adventure Bus Service ( Wateja wa Mkoa wa Kigoma)

6.NBS Bus Service ( Wateja wa Tabora)

7.Shabiby Video Line ( Wateja wa Dodoma)

8.Mbeya Express Bus Service ( Wateja wa Tunduma,Mbeya na  Sumbawanga)http://vukaboda.com/data/upload/shop/article/05826493023079664.png

Prev: There are no eligible articles Next: Change Password
0789444464 sales@vukaboda.com

Scan it Follow us

Payment We Accept: