Product comparison

My shopping cart

Hello,Welcome to Vukaboda Log in Register Free Coupon
Register Today on Vukaboda Get 10000

Scan QR code

Mobile App
Home> Help Center> Article content

How to Pay in Installments

2018-06-01 17:35

Payments BY Installments ( LIPIA KWA AWAMU).

Njia hii ya malipo inakuwezesha mteja wetu kulipia bidhaa yako kwa awamu Tatu tu (3), baada ya apo utatumiwa bidhaa yako au kuletewa mpaka ulipo kwa sehemu ambazo VUKABODA tuna mawakala wetu.

INAFANYAJE KAZI ?

Kabla ya kuanza kufanya malipo kwa awamu , Mteja hakikisha umeona bidhaa unayo itaka au itaji katika tovuti yetu www.vukaboda.com /App Yetu kwenye Google Play Store @vukaboda ,Pia waweza kuwa umeona bidhaa hiyo katika mitandao yetu ya kijamii (Instagram,Facebook na Twitter @vukaboda). Baada ya hapo weka oda yako moja kwa moja kwenye website na uwasiliane na vukaboda Huduma kwa wateja kwa No. 0789444464 na watakupatia number ya simu au Bank Account kwa ajili ya kufanya malipo hayo ya awamu.

Vigezo Na Mashariti.

Kwa Kufungua Account na kuweka oda yako kwenye Tovuti yetu (www.vukaboda.com) utakuwa umekubaliana na vigezo na mashariti yetu.

==========================================================


Payments BY Installments.

This payment method lets customer  pay for their product in just three (3) phases or installaments, After the customer finish all the installaments based on price of the items which he/she orderd on our website (www.vukaboda.com)

HOW IT WORKS?

Before you start making a payment in installments, Customer make sure you see the product you want or need on our website www.vukaboda.com /  or App on Google Play Store @vukaboda, and you may have seen the product in our social networks (Instagram, Facebook and Twitter @vukaboda). Then press your order directly on the website and contact Customer Service for No.0789444464 They  will give you a phone number or Bank Account for starting  your first installments payment.

Terms and Conditions.

By opening the Account and setting your order on our Website ( www.vukaboda.com ) you will agree with our terms and Conditions.
http://vukaboda.com/data/upload/shop/article/05812077192352321.jpg

Prev: ZoaDay Next: AMD and NVIDIA
0789444464 sales@vukaboda.com

Scan it Follow us

Payment We Accept: