Product comparison

My shopping cart

Hello,Welcome to Vukaboda Log in Register Free Coupon
Register Today on Vukaboda Get 10000

Scan QR code

Mobile App
Home> House Owner> Article content

How to ship

2014-01-16 12:31

TAARIFA MUHIMU

 Ukishaweka Oda na kufanya malipo Bidhaa itakufikia ndani ya siku Mbili ( Masaa 72hrs) Kulingana na umbali wa

sehemu uliyopo ( Kwa mfano Mwanza,Geita,Bukoba,Shinyanga,Arusha,Kigoma na mikoa mingine ambayo mabasi yanachukua Masaa 14hrs mpaka 16hrs ili kufika). Lakin kwa

mikoa ya Karibu na Dar es salaam kama vile ( Morogoro,Pwani Na Tanga Bidhaa inaweza kufikia siku hiyohiyo kulingana na muda ambayo umeweka oda au kufanya

manunuzi yako).

        NB. Tunaahidi bidhaa kukufikia kwa

wakati kama tulivyo andika apo Juuu ,Kukiwa na shida yoyote utapewa Taarifa.

         PIGA HUDUMA KWA WATEJA +255789444464

Kwa sasa tunayo baadhi ya makampuni ya mabasi ambayo tunafanya nayo kazi, lakini pia mteja unaweza kupendekeza ni Bus gani

tunaweza Kutumia kusafirisha Parcel Yako mpaka ulipo. KWA SASA TUNAFANYA NA: 1.Mtei Express ( wateja wa Babati,Moshi na Arusha)

        2.Galaxy Express ( Wateja wa Iringa,Njombe,Makambako)

        3.Rungwe Express ( Wateja wa Mbeya,Tunduma,Kyela)

        4.Zubery Bus servive ( Wateja wa Mwanza)

        5.Adventure Bus Service ( Wateja wa Mkoa wa Kigoma)

        6.NBS Bus Service ( Wateja wa Tabora)

        7.Shabiby Video Line ( Wateja wa Dodoma)

        8.Mbeya Express Bus Service ( Wateja wa Tunduma,Mbeya na Sumbawanga)

========================================================

IMPORTANT INFORMATION

 If you press order and make a payment, the Product will reach within 1Hour For Dar es salaam and   (48 hours) Depending on the distance,

(eg Mwanza, Geita, Bukoba, Shinyanga, Arusha, Kigoma and other regions that buses take 14hrs to 17hrs to arrive).But for areas near Dar es salaam such as (Morogoro, Pwani and Tanga Products can reach the same day according to the time you have pressed your order and make a purchases).

        NB. We promise products to reach you

as we have written down, In case of any problem you will be given a Report.

         CUSTOMER SERVICE  +255789444464

We currently have some buses companies that we work on, but also the customer can recommend what Bus

We can use to export His or Her  Parcel.

 NOW WE SHIP/TRANSFER WITH:

1.Mtei Express or Kilimanjaro Express (customers of Babati, Moshi and Arusha)

        2.Galaxy Express (Iringa Customers, Njombe, Makambako)

        3.Rungwe Express (Mbeya Customers, Tunduma, Kyela)

        4.Zubery Bus Service (Mwanza Customers)

        5.Adventure Bus Service (Kigoma Region Customers)

        6.NBS Bus Service (Tabora Customers)

        7.Shabiby Video Line (Dodoma Customers)

        8.Mbeya Express Bus Service (Tunduma Customers, Mbeya and Sumbawanga)Prev: View sold items Next: Recommended Shop
0789444464 sales@vukaboda.com

Scan it Follow us

Payment We Accept: