0

MCHELE SAFI KUTOKA MBEYA.

MCHELE SAFI KUTOKA MBEYA.

Hi ni bidhaa aina ya chakula ambayo pia inauzwa ndani ya vukaboda ikiwa katika

package mbalimbali kuanzia kilo 5kg mbaka 500kg, Lakini bidhaa hii inasambazwa

mikoa miliwi tuu ambapo ni mkoa wa Dar es salaam na Arusha ikiwa ndio maeneo

makuu yaliyo lengwa na Vukaboda Group.

 WALENGWA.

Wamiliki wa restaurant na akina mama ntilie wataweza kuagiza mchele kila siku

au kwa wiki kulingana na mauzo yao, kutoka vukaboda na watafikishiwa mbaka

sehemu walipo. Wale wanao itaji kwa ajili ya matumizi ya majumbani pia wanaweza

kuagiza kuanzia kilo 5kg na kuendelea na wanafikishiwa mbaka walipo kwa mikoa

hiyo miwili yaami Dar es salaam na Arusha.

     KUMBUKA.

Mchele Huu ni safi na halisi kutoka Mbeya Yaani kyela,Mbalali na Mwingine

mzuri kutoka mkoa jirani wa Rukwa (kamsamba Rice) Pia mchele huu ni sawa

kabisa na ule wa kyela.

 Kwa Wale wa Maitaji Makubwa

VukaBoda Group

Tel:255717218173 | 255763714392

Email:info@vukaboda.com

 

 

 

 

 

   • Write By: vukaboda
  • Published In: News & Events
  • Created Date: 2016-10-24
  • Hits: 422
  • Comment: 0

Tags:

Leave A Comment